WHATEVER YOUR ARE BE A GOOD ONE;

A nation that is afraid to let its people judge the truth and falsehood in an open market is a nation that is afraid of its people. John F. Kennedy

“Taifa letu – taifa lolote – ni zuri na mahali pazuri pa kuishi kama raia wake watalifanya liwe hivyo. Uongozi wake unaweza kuwa mzuri, mbaya au usiojali lakini kama watu wake wameamka (ki-elimu?) na wanajitambua, haitachukua muda mrefu kuwakilisha mtazamo wa jamii na kubadili mawazo na matumaini ya taifa.” Julius Kambarage Nyerere


Sunday, December 4, 2011

MIAKA 50 YA SHEREHE YA UHURU KATIKA NYIMBO
















Nawatakieni usikisizaji mwema na vile vile napenda kuwapa pongezi za pekee wote ambao wamehusika katika kuandaa nyiombo hizi kwani wametumia muda na vipaji vyao;
tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu kwa uwezo ambao wasanii wetu wamejaliwa.

ALUTA BADO TUNASONGA MBELE TUKIENDELEA KUSHEREKEA MIAKA 50 YA UHURU WA TAIFA LETU

No comments:

Post a Comment