WHATEVER YOUR ARE BE A GOOD ONE;

A nation that is afraid to let its people judge the truth and falsehood in an open market is a nation that is afraid of its people. John F. Kennedy

“Taifa letu – taifa lolote – ni zuri na mahali pazuri pa kuishi kama raia wake watalifanya liwe hivyo. Uongozi wake unaweza kuwa mzuri, mbaya au usiojali lakini kama watu wake wameamka (ki-elimu?) na wanajitambua, haitachukua muda mrefu kuwakilisha mtazamo wa jamii na kubadili mawazo na matumaini ya taifa.” Julius Kambarage Nyerere


Friday, February 15, 2013

JK AONGOZA WANANCHI MAZISHI YA ASKOFU LAIZER


8E9U0677
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Rais Mstaafu awamu ya Pili Mzee Ali Hassan Mwinyi,Rais Mstaafu awamu ya Tatu Benjamin William Mkapa na Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa wakishiriki ibada ya Mazishi ya Askofu Dkt.Thomas Laizer iliyofanyika katika kanisa na Usharika wa mjini Kati.mjini Arusha leo.
(PICHA NA IKULU)


8E9U0890
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiweka shada la Maua katika kaburi la Marehemu Askofu Dkt.Thomas Laizer wakati wa mazishi yaliyofanyika katika Kanisa KKKT Usharika wa mjini Kati,Arusha mjini leo.
8E9U1033
Rais Dkt,Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Mwenyekiti wa Chama cha CHADEMA  na Freeman Mbowe  Mbunge wa Jimbo la Hai Mh.  kwenye mazishi ya ya Askofu Thomas Laizer leo katika kanisa la KKKT Usharika wa mjini Kati.
IMG_6373
Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),Askofu Dk. Alex Malasusa akiongoza ibada ya Mazishi ya Askofu Thomas Laizer leo katika kanisa la KKKT Usharika wa mjini Kati,jijini Arusha.
IMG_6518A
Rais Dkt,Jakaya Mrisho Kikwete akiteta jambo na Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu,Mh. Benjamin William Mkapa wakati wa Mazishi ya Askofu Thomas Laizer leo katika kanisa la KKKT Usharika wa mjini Kati
IMG_6629
Rais Dkt,Jakaya Mrisho Kikwete akiwapungia mkono baadhi ya waombolezaji waliofika kwenye mazishi ya ya Askofu Thomas Laizer leo katika kanisa la KKKT Usharika wa mjini Kati.
source: mjengwa blog com

matukio  zaidi ya mazishi ya Askofu Laizer katika picha 



  Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akitoa salamu zake kwa waombolezaji wa msiba mkubwa wa aliekuwa Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),Dayosisi ya Kaskazini na Kati,Marehemu Askofu Dk. Thomas Laizer aliefariki Dunia Februari 7,2013 katika Hospitali ya Hospitali ya Selian,Jijini Arusha.katika Kanisa Kuu la KKKT jijini Arusha Jana jioni
 Mwenyekiti wa Chadema, Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni na Mbunge wa Jimbo la Hai,Mh. Freemon Mbowe akitoa salamu zake.
  Mbunge wa Jimbo la Arusha-Chadema,Mh. Godbress Lema akizungumza.
  Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP,Dk. Reginald Mengi akitoa salamu zake.
 Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiweka shada la maua kwenye Kaburi la aliekuwa Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),Dayosisi ya Kaskazini na Kati,Marehemu Askofu Dk. Thomas Laizer aliefariki Dunia Februari 7,2013 katika Hospitali ya Hospitali ya Selian,Jijini Arusha.Wakati wa Mazishi yake yaliyofanyika jioni ya jana nje ya Kanisa hilo.
 Rais Mstaafu wa awamu ya pili,Alhaj Ali Hassan Mwinyi na Mkewe Mama Sitti Mwinyi wakiweka shada la maua kwenye Kaburi la aliekuwa Askofu Mkuu wa Kanisa la  Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),Dayosisi ya Kaskazini na Kati,Marehemu Askofu Dk. Thomas Laizer aliefariki Dunia Februari 7,2013 katika Hospitali ya Hospitali ya Selian,Jijini Arusha.
 Rais Mstaafu wa awamu ya tatu,Mh. Benjamin Willim Mkapa na Mkewe Mama Anna Mkapa wakiweka shada la maua kwenye Kaburi la aliekuwa Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),Dayosisi ya Kaskazini na Kati,Marehemu Askofu Dk. Thomas Laizer aliefariki Dunia Februari 7,2013 katika Hospitali ya Hospitali ya Selian,Jijini Arusha.
  Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa na Mkewe Mama Regina Lowassa wakiweka shada la maua kwenye Kaburi la aliekuwa Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),Dayosisi ya Kaskazini na Kati,Marehemu Askofu Dk. Thomas Laizer aliefariki Dunia Februari 7,2013 katika Hospitali ya Hospitali ya Selian,Jijini Arusha.
 Katibu Mkuu wa CCM,Ndg. Abdulrahman Kinana akiweka shada la maua kwenye Kaburi la Marehemu Askofu Dk. Thomas Laizer aliefariki Dunia Februari 7,2013 katika Hospitali ya Hospitali ya Selian,Jijini Arusha.Wakati wa Mazishi yake yaliyofanyika jioni ya jana nje ya Kanisa hilo.
 Mwenyekiti wa Chadema,Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni na Mbunge wa Jimbo la Hai,Mh. Freemon Mbowe akiweka shada la maua kwenye Kaburi la aliekuwa Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),Dayosisi ya Kaskazini na Kati,Marehemu Askofu Dk. Thomas Laizer aliefariki Dunia Februari 7,2013 katika Hospitali ya Hospitali ya Selian,Jijini Arusha.Wakati wa Mazishi yake yaliyofanyika jioni ya jana nje ya Kanisa hilo.
 Mke wa Marehemu Askofu Dk. Thomas Laizer,Mama Maria Laizer pamoja  na familia ya Marehemu,wakiweka shada la maua kwenye Kaburi la Askofu Dk. Thomas Laizer aliefariki Dunia Februari 7,2013 katika Hospitali ya Hospitali ya Selian,Jijini Arusha.
  Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP,Dk. Reginald Mengi akiweka shada la maua kwenye Kaburi la Dk. Thomas Laizer .
  Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya CRDB,Dk. Charles Kimei na Meneja wa CRDB kanda ya Kaskazini wakiweka shada la maua kwenye Kaburi la aliekuwa Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),Dayosisi ya Kaskazini na Kati,Marehemu Askofu Dk. Thomas Laizer aliefariki Dunia Februari 7,2013 katika Hospitali ya Hospitali ya Selian,Jijini Arusha.Wakati wa Mazishi yake yaliyofanyika jioni ya jana nje ya Kanisa hilo.
  Rais Dkt,Jakaya Mrisho Kikwete akiteta jambo na Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu,Mh. Benjamin William Mkapa wakati wa Mazishi ya Askofu Thomas Laizer leo katika kanisa la KKKT Usharika wa mjini Kati
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Rais Mstaafu awamu ya Pili Mzee Ali Hassan Mwinyi,Rais Mstaafu awamu ya Tatu Benjamin William Mkapa na Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa wakishiriki ibada ya Mazishi ya Askofu Dkt.Thomas Laizer iliyofanyika katika kanisa na Usharika wa mjini Kati.mjini Arushajana
 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Rais Mstaafu awamu ya Pili Mzee Ali Hassan Mwinyi,Rais Mstaafu awamu ya Tatu Benjamin William Mkapa na Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa wakishiriki ibada ya Mazishi ya Askofu Dkt.Thomas Laizer iliyofanyika katika kanisa na Usharika wa mjini Kati.mjini Arushajana 
 Rais Jakaya Kikwete akigana na viongozi mbalimbali baada ya kushiriki kwenye mazishi ya ya Askofu Thomas Laizer jana katika kanisa la KKKT Usharika wa mjini Kati.
Rais Dkt,Jakaya Mrisho Kikwete akiwapungia mkono baadhi ya waombolezaji waliofika kwenye mazishi ya ya Askofu Thomas Laizer jana katika kanisa la KKKT Usharika wa mjini Kati.
 Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Mzee Mwinyi akiwaaga waombolezaji wengine  baada ya kushiriki kwenye mazishi ya ya Askofu Thomas Laizer jana katika kanisa la KKKT Usharika wa mjini Kati.
 Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Mzee Mkaa na Mama Mkapa wakiondoka kanisani hapo  baada ya kushiriki kwenye mazishi ya ya Askofu Thomas Laizer jana katika kanisa la KKKT Usharika wa mjini Kati.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli -CCM,Edward Lowassa Akiagana na waombolezaji baada ya kushiriki kwenye mazishi ya ya Askofu Thomas Laizer jana  katika kanisa la KKKT Usharika wa mjini Kati.Picha na Othman Michuzi na Freddy Maro-IKULU

No comments:

Post a Comment