WHATEVER YOUR ARE BE A GOOD ONE;

A nation that is afraid to let its people judge the truth and falsehood in an open market is a nation that is afraid of its people. John F. Kennedy

“Taifa letu – taifa lolote – ni zuri na mahali pazuri pa kuishi kama raia wake watalifanya liwe hivyo. Uongozi wake unaweza kuwa mzuri, mbaya au usiojali lakini kama watu wake wameamka (ki-elimu?) na wanajitambua, haitachukua muda mrefu kuwakilisha mtazamo wa jamii na kubadili mawazo na matumaini ya taifa.” Julius Kambarage Nyerere


Thursday, October 9, 2014

Tazama Picha Mbalimbali na Uone Jinsin Katiba Inayoependekezwa ilivyoyakabidhiwa Rasmi kwa Rais wa Tanzania Bara Jakaya Kikwete na Rais wa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dr Ali SheinRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (kushoto) akipokea Katiba Inayopendekezwa toka kwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta wakati wa sherehe ya Makabidhiano ya Katiba hiyo iliyofanyika jana 8 Oktoba, 2014 mjini Dodoma.

Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Mhe. Dkt. Ali Mohammed Shein (kushoto) akipokea Katiba Inayopendekezwa toka kwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta wakati wa sherehe ya Makabidhiano ya Katiba hiyo iliyofanyika jana 08 Oktoba, 2014 mjini Dodoma.


Marais wote wa Tanzania Bara na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wakikata utepe kufungua Katiba Inayopendekezwa wakati wa sherehe ya makabidhiano ya Katiba hiyo hapo jana 8 Oktoba, 2014 mjini Dodoma.


Marais wote wa Tanzania Bara na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wakionyesha juu Katiba Inayopendekezwa ili wananchi waweze kuziona wakati wa sherehe ya makabidhiano ya Katiba hiyo hapo jana 8 Oktoba, 2014 mjini Dodoma.


Marais wote wa Tanzania Bara na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wakionyesha nyuso zenye furaha mara baada ya kukabdihiwa rasmi Katiba Inayopendekezwa wakati wa sherehe ya makabidhiano ya Katiba hiyo hapo jana 8 Oktoba, 2014 mjini Dodoma.


Alyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Andrew Chenge akitoa hotuba mbele ya Marais wa Tanzania Bara na Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar pamoja na wananchi waliohudhuria wakati wa sherehe ya Makabidhiano ya Katiba Inayopendekezwa siku ya tarehe 8 Oktoba, 2014 mjini Dodoma.

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba. Mhe. Samuel Sitta akitoa hotuba mbele ya Marais wa Tanzania Bara na Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar pamoja na wananchi waliohudhuria wakati wa sherehe ya Makabidhiano ya Katiba Inayopendekezwa siku ya tarehe 8 Oktoba, 2014 mjini Dodoma.


Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Mhe. Dkt. Ali Mohammed Shein akiwahutubia wananchi pamoja na wageni waalikwa wakati wa sherehe ya Makabidhiano ya Katiba Inayopendekezwa siku ya tarehe 8 Oktoba, 2014 mjini Dodoma.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwahutubia wananchi pamoja na wageni waalikwa wakati wa sherehe ya Makabidhiano ya Katiba Inayopendekezwa siku ya tarehe 8 Oktoba, 2014 mjini Dodoma.


Aliyekuwa Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta akipokea Cheti cha heshima ya uongozi toka kwa Rais wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya, wakati wa sherehe ya makabidhiano ya Katiba hiyo hapo jana 8 Oktoba, 2014 mjini Dodoma.


Aliyekuwa Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta akionyesha juu Cheti cha heshima ya uongozi mara baada ya kukabidhiwa toka kwa Rais wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete wakati wa sherehe ya makabidhiano ya Katiba hiyo hapo jana 8 Oktoba, 2014 mjini Dodoma.


Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samia Suluhu Hassan akionyesha akipokea Cheti cha heshima ya uongozi toka kwa Rais wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete wakati wa sherehe ya makabidhiano ya Katiba hiyo hapo jana 8 Oktoba, 2014 mjini Dodoma.


 
Mbunge wa Maswa John Shibuda, akikabidhiwa cheti na Rais Kikwete

  
Rais Jakaya Kikwete akimkabidhi cheti Asha-Rose Migiro..


 Rais Kikwete akikabidhi Vyeti kwa Wajumbe washiriki wa Bunge hilo....Paul Kimiti wakati wa hafla fupi iliyofanyika kwenye viwanja vya Ikulu ndogo mjini Dodoma Usiku wa kuamkia Leo

 
Paul Makonda, akikabidhiwa cheti na Rais.....


 Zoezi la kukabidhi vyeti likiendelea kwa Wajumbe washiriki wa Bunge hilo..


 Picha ya pamoja kwa kumbukumbu viongozi wakuu wa kitaifa na wenyeviti wa Bunge hhilo..


  Picha ya pamoja.Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais

source: haki ngowi

No comments:

Post a Comment