WHATEVER YOUR ARE BE A GOOD ONE;

A nation that is afraid to let its people judge the truth and falsehood in an open market is a nation that is afraid of its people. John F. Kennedy

“Taifa letu – taifa lolote – ni zuri na mahali pazuri pa kuishi kama raia wake watalifanya liwe hivyo. Uongozi wake unaweza kuwa mzuri, mbaya au usiojali lakini kama watu wake wameamka (ki-elimu?) na wanajitambua, haitachukua muda mrefu kuwakilisha mtazamo wa jamii na kubadili mawazo na matumaini ya taifa.” Julius Kambarage Nyerere


Thursday, September 13, 2012

NIMEPENDA UPEO WA UKWELI WA MR. ZEMBWELA ALIPOHOJIWA MA MKASI TV; HEBU SIKILIZA


1 comment:

  1. Bwana Zembwela, Salaam. Hakika uko juu. Sina hakika kama nina uwezo wa kukushauri kwa kujiamini. Ninaamini una uwezo mkubwa wa kuandika. Ningependa uandike visa vya kipimdi cha Uswazi viwe katika kitabu. kikitoka ningependa kuwa kati ya watu wa kwanza kukisoma.Ndani ya hivyo vipindi kuna maisha yetu. TAFADHALI.

    ReplyDelete