WHATEVER YOUR ARE BE A GOOD ONE;

A nation that is afraid to let its people judge the truth and falsehood in an open market is a nation that is afraid of its people. John F. Kennedy

“Taifa letu – taifa lolote – ni zuri na mahali pazuri pa kuishi kama raia wake watalifanya liwe hivyo. Uongozi wake unaweza kuwa mzuri, mbaya au usiojali lakini kama watu wake wameamka (ki-elimu?) na wanajitambua, haitachukua muda mrefu kuwakilisha mtazamo wa jamii na kubadili mawazo na matumaini ya taifa.” Julius Kambarage Nyerere


Friday, September 28, 2012

MATUKIO KATIKA SEMINA YA VIONGOZI WA KISIASA NA UTENDAJI WA SERIKALI ZA MITAA - PEMBA



 Kaimu Sheha wa Kangani Kisiwani Pemba,Hamadi Ali Bakari,alipokuwa akichangia na kutaka ufafanuzi wa mapato yanayokusanywa na Idara ya ukusanyaji wa mapato TRA, wakati wa Mkutano wa Siku tatu wa Uhusiano baina ya Viongozi wa Kisiasa na Kiutendaji wa Serikali za Mitaa,unaoendelea katika ukumbi wa Misali Sunset Beach Hotel,Wesha Pemba


Sheha wa shehia ya Ndagoni Pemba,Masoud Ali Mohamed,alipokuwa akichagia kuhusu namna ya uboreshwaji wa maendeleo ya shehia mbali mbali wakati wa Mkutano wa Siku tatu wa Uhusiano baina ya Viongozi wa Kisiasa na Kiutendaji wa Serikali za Mitaa,unaoendelea katika ukumbi wa Misali Sunset Beach Hotel,Wesha Pemba

 
 Sheha wa Shehia ya Pembeni,wilaya ya Wete Pemba,Saumu Ali Hamadi,alipokuwa akiomba kuharakishwa kukamilishiwa shehia yake ipatiwe huduma ya umeme,wakati wa Mkutano wa Siku tatu wa Uhusiano baina ya Viongozi wa Kisiasa na Kiutendaji wa Serikali za Mitaa,unaoendelea katika ukumbi wa Misali Sunset Beach Hotel,Wesha Pemba.

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi,Makaazi,Maji na Nishati,Mwalimi Ali Mwalimu, akitoa ufafanuzi wa masuala mbali mbali ya Wizara yeke yaliyoulizwa wakati wa Mkutano wa Siku tatu wa Uhusiano baina ya Viongozi wa Kisiasa na Kiutendaji wa Serikali za Mitaa,unaoendelea katika ukumbi wa Misali Sunset Beach Hotel,Wesha Pemba.


Mshauri wa Rais mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,Balozi Mohamed Ramia Abdiwawa,akichagia mada wakati wa Mkutano wa Siku tatu wa Uhusiano baina ya Viongozi wa Kisiasa na Kiutendaji wa Serikali za Mitaa,unaoendelea katika ukumbi wa Misali Sunset Beach Hotel


  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,akifuatilia kwa makini wakati Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Dk.Abdulhamid Yahya Mzee,(kushoto) alipokuwa akichangia wakati wa Mkutano wa Sikutatu wa Uhusiano baina ya Viongozi wa Kisiasa na Kiutendaji wa Serikali za Mitaa,unaoendelea katika ukumbi wa Misali Sunset Beach Hotel,Wesha Pemba


Mhasibu Mkuu wa Serikali, Omar Hassan Omar,akiwasilisha mada ya Umuhimu wa kufuata taratibu za ununuzi na sheria za fedha katika Serikali za Mitaa,katika Mkutano wa Siku tatu wa Uhusiano baina ya Viongozi wa Kisiasa na Kiutendaji wa Serikali za Mitaa,unaoendelea katika ukumbi wa Misali Sunset Beach Hotel,Wesha Pemba,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK Ali Mohamed Shein.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,(wa pili kulia)akitoa maelekezo kwa wajumbe wa Mkutano wa Siku tatu wa Uhusiano baina ya Viongozi wa Kisiasa na Kiutendaji wa Serikali za Mitaa,unaoendelea katika ukumbi wa Misali Sunset Beach Hotel,Wesha Pemba,(kulia) Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad,Waziri wa Nchi Ofisi ya Raisna Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Mwinyihaji Makame,(kushoto) na Katibu Mkuu Kiongozi Dk.Abduhamid Yahaya Mzee.


Baadhi ya Masheha na Madiwani wa Shehia za Pemba wakiwa katika Mkutano wa Siku tatu wa Uhusiano baina ya Viongozi wa Kisiasa na Kiutendaji wa Serikali za Mitaa,unaoendelea katika ukumbi wa Misali Sunset Beach Hotel,Wesha Pemba.Picha na Ramadhan Othman,Ikulu-Zanzibar

No comments:

Post a Comment