WHATEVER YOUR ARE BE A GOOD ONE;

A nation that is afraid to let its people judge the truth and falsehood in an open market is a nation that is afraid of its people. John F. Kennedy

“Taifa letu – taifa lolote – ni zuri na mahali pazuri pa kuishi kama raia wake watalifanya liwe hivyo. Uongozi wake unaweza kuwa mzuri, mbaya au usiojali lakini kama watu wake wameamka (ki-elimu?) na wanajitambua, haitachukua muda mrefu kuwakilisha mtazamo wa jamii na kubadili mawazo na matumaini ya taifa.” Julius Kambarage Nyerere


Saturday, April 7, 2012

MSANII MAARUFU NCHINI TANZANIA KANUMBA AMEFARIKI DUNIA


Msanii Nyota Steven Kanumba Wakati wa uhai wake akiwa katika posi ya kawaida

Imethibitishwa kuwa kifo chake kimetokea  usiku wa kuamkia leo. Bado kuna taarifa tata juu ya sababu ya kifo chake. Habari zaidi zitawajia kadri tutakavyozipokea.
Picha na Habari kwa hisani ya Mjengwa Blog
Blog yako ya ukadirifu itakuletea toleo maalumu kuhusu "Legacy of Steven Kanumba" katika kuenzi mchango wake mkubwa ambao ameutoa kwa jamii katika kipindi cha maisha yake kama msanii;
Upumzike katika usingizi wa amani kwani Bwana alitoa na bwana Ametwaa Jina lake na lihimidiwe daima AMINA

No comments:

Post a Comment