Rais Jakaya Mrisho Kikwete akutana na kufanya
mazungumzo na Rais wa Misri Mohamed Morsi walipokutana wakati wa mkutano
na sherehe za kuadhimisha miaka 50 ya Umoja wa Afrika (AU) katika makao
makuu ya Umoja huo jijini Addis Ababa, Ethiopia
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais Uhuru Kenyatta wa
Kenya walipokutana wakati wa mkutano na sherehe za kuadhimisha miaka 50
ya Umoja wa Afrika (AU) jijini Addis Ababa, Ethiopia
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha Rais Uhuru Kenyatta
wa Kenya kwa Balozi mpya wa Tanzania nchini Marekani Mh Liberata
Mulamula walipokutana wakati wa mkutano na sherehe za kuadhimisha miaka
50 ya Umoja wa Afrika (AU) jijini Addis Ababa, Ethiopia
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha kwa mazungumzo Mkurugenzi
Mtendaji wa UNAIDS Michel Sidibe walipokutana na kufanya mazungumzo
pembeni ya mkutano na sherehe za kuadhimisha miaka 50 ya Umoja wa
Afrika (AU) katika makao makuu ya Umoja huo jijini Addis Ababa, Ethiopia
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mkurugenzi Mtendaji
wa UNAIDS Michel Sidibe pamoja na Mratibu wa Masuala ya Ukimwi wa
Marekani Balozi Eric Goosby walipokutana na kufanya mazungumzo pembeni
ya mkutano na sherehe za kuadhimisha miaka 50 ya Umoja wa Afrika (AU)
katika makao makuu ya Umoja huo jijini Addis Ababa, Ethiopia
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Waziri Mkuu wa Jamaica Bi. Portia Simpson Miller walipokutana
na kufanya mazungumzo pembeni ya mkutano na sherehe za kuadhimisha
miaka 50 ya Umoja wa Afrika (AU) katika makao makuu ya Umoja huo jijini
Addis Ababa, Ethiopia
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Waziri Mkuu wa Jamaica Bi. Portia Simpson Miller walipokutana
na kufanya mazungumzo pembeni ya mkutano na sherehe za kuadhimisha
miaka 50 ya Umoja wa Afrika (AU) katika makao makuu ya Umoja huo jijini
Addis Ababa, Ethiopia
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifanya mazungumzo na Mkurugenzi
Mtendaji wa taaisi ya kimataifa inayoshughulikia mapambano dhidi ya
Ukimwei, Kifua Kikuu na Malaria ya The Global Fund Dkt Mark Dybil na afisa wa taasisi hiyo Bi Shu-shu Tekle-Haimanot walipokutana
na kufanya mazungumzo pembeni ya mkutano na sherehe za kuadhimisha
miaka 50 ya Umoja wa Afrika (AU) katika makao makuu ya Umoja huo jijini
Addis Ababa, Ethiopia
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo
Mkurugenzi Mtendaji wa UNAIDS Michel Sidibe na ujumbe wake
walipokutana pembeni ya mkutano na sherehe za kuadhimisha miaka 50 ya
Umoja wa Afrika (AU) katika makao makuu ya Umoja huo jijini Addis Ababa,
Ethiopia
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulishaWaziri Mkuu wa Jamaica Bi. Portia Simpson Miller kwa Mhe Gideon Moi, Seneta wa Kaunti ya Baringo nchini kenya na ambaye pia ni Mwenyekiti wa chama cha KANU cha nchi hiyo walipokutana
pembeni ya mkutano na sherehe za kuadhimisha miaka 50 ya Umoja wa
Afrika (AU) katika makao makuu ya Umoja huo jijini Addis Ababa,
Ethiopia.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsindikiza Waziri Mkuu wa Jamaica Bi. Portia Simpson Miller walipokutana
na kufanya mazungumzo pembeni ya mkutano na sherehe za kuadhimisha
miaka 50 ya Umoja wa Afrika (AU) katika makao makuu ya Umoja huo jijini
Addis Ababa, Ethiopia
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akishiriki katika Mkutano wa
kawaida wa 21 wa Umoja wa Afrika katika makao makuu ya Umoja huo jijini
Addis Ababa, Ethiopia.Picha na IKULU
source: haki ngowi
No comments:
Post a Comment