Kilimo katika mataifa mengi yalionaviwanda vingi kwa sasa kilikuwa ndio
chimbuko la ukuajiwa uchumi; waingereza walifanikiwa kuleta mapinduzi ya viwanda baada ya kujiimarisha na kuleta mapinduzi ya kilimo.
kwa kipindi kirefu sasa nchi yetu pamoja na kuwa ardhi yenye rutuba nzuri na hali ya hewa nzuri kwa mikoa mingi tumeendelea kuwa omba omba wa chakula na mbaya zaidi wanachi wetu wanaendelea na uhaba wa chakula hata katika mikoa ili yenye kila neema ya kilimo.
- Je tatizo letu hasa ni nini?
- Je wanasiasa wanajitetea vipi kuhusu hili?
- Nini kifanyike kuondoa tatizo hili la kuwa ombaomba hata katika vitu ambavyo tunaiweza?
HEBU TUWASIKILIZE WANASIASA NA MAELEZO YAHO KUHUSU TATIZO NA MAFANIKIO YA KILIMO HUSUSA NDANII YA NCHI YETU
No comments:
Post a Comment