WHATEVER YOUR ARE BE A GOOD ONE;

A nation that is afraid to let its people judge the truth and falsehood in an open market is a nation that is afraid of its people. John F. Kennedy

“Taifa letu – taifa lolote – ni zuri na mahali pazuri pa kuishi kama raia wake watalifanya liwe hivyo. Uongozi wake unaweza kuwa mzuri, mbaya au usiojali lakini kama watu wake wameamka (ki-elimu?) na wanajitambua, haitachukua muda mrefu kuwakilisha mtazamo wa jamii na kubadili mawazo na matumaini ya taifa.” Julius Kambarage Nyerere


Wednesday, July 15, 2015

Haya ndio mapokezi ya Dk. John Magufuli ndani ya Dar es Salaam July 14 2015…

Screen Shot 2015-07-14 at 4.35.50 PM
Jina la Waziri Wa Ujenzi Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli lilipata Headlines zenye uzito zaidi baada ya Chama Cha Mapinduzi CCM kumtangaza kwamba ndiye Mgombea Urais aliyepitishwa na Chama hicho kwenye Uchaguzi unaofanyika October 2015.
Screen Shot 2015-07-14 at 4.35.26 PM
Yeye pamoja na Mgombea mwenza, Samia Suluhu Hassantayari wamefika Dar es Salaam na leo July 14 2015 ilikuwa siku rasmi ambayo ilitangazwa kwa ajili ya kuwatambulisha Wagombea hao.
Watu wa Dar es Salaam wamejitokeza katika Viwanja vya Zakhiem Mbagala kwa ajili ya kufanya mapokezi hayo.. Pichaz za tukio lote ninazo hapa.
Screen Shot 2015-07-14 at 4.35.17 PM
Screen Shot 2015-07-14 at 4.35.33 PM
Dk. John Magufuli akiongea katika Viwanja vya Zakhiem Mbagala, Dar es Salaam.
Screen Shot 2015-07-14 at 4.35.40 PM
Screen Shot 2015-07-14 at 4.35.57 PM
Screen Shot 2015-07-14 at 4.36.04 PM
Dk. John Magufuli.
Screen Shot 2015-07-14 at 4.36.11 PM
Screen Shot 2015-07-14 at 4.36.20 PM
Waziri Magufuli akionesha uwezo wake kwenye kupiga ngoma. Pembeni yake yuko Katibu Mwenezi wa Itikadi CCM, Nape Nnauye.
Screen Shot 2015-07-14 at 4.36.30 PM
Screen Shot 2015-07-14 at 4.37.11 PM
Katibu Mwenezi Nape Nnauye.
Screen Shot 2015-07-14 at 4.37.21 PM
Mkuu wa Mkoa Dar Es Salaam, Said Meck Sadick.
Screen Shot 2015-07-14 at 4.37.29 PM
Screen Shot 2015-07-14 at 4.37.37 PM
Screen Shot 2015-07-14 at 4.37.44 PM
 chanzo: Milladayo.com

No comments:

Post a Comment