WHATEVER YOUR ARE BE A GOOD ONE;

A nation that is afraid to let its people judge the truth and falsehood in an open market is a nation that is afraid of its people. John F. Kennedy

“Taifa letu – taifa lolote – ni zuri na mahali pazuri pa kuishi kama raia wake watalifanya liwe hivyo. Uongozi wake unaweza kuwa mzuri, mbaya au usiojali lakini kama watu wake wameamka (ki-elimu?) na wanajitambua, haitachukua muda mrefu kuwakilisha mtazamo wa jamii na kubadili mawazo na matumaini ya taifa.” Julius Kambarage Nyerere


Tuesday, July 29, 2014

UKADIRIFU INAWATAKIENI IDD NJEMA

Bilal awaongoza maelfu ya Waumini wa Kiislam katika Swala ya Eid El Fitr katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar leo

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Mohamed Gharib Bilal (katikati),Sheikh Mkuu,Issa Shaaban Simba,Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Mh. Said Meck Sadick na Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Sheikh Mussa Salum wakijumuika na Waumini wengine wa Dini ya Kiislam kwenye Swala ya Eid El Fitr iliyofanyika Kitaifa kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja,Jijini Dar es Salaam leo.CHANZO MTAA KWA MTAA BLOG
Sehemu ya Waumini wa Dini ya Kiislam wakiwa kwenye Ibada ya Eid el Fitr katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam leo.
 Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam,Sheikh Mussa Salum akitoa Khotuba katika Idada ya Swala ya Eid El Fitr iliyofanyika Kitaifa kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja,Jijini Dar es Salaam leo.
 Mawaidha yakiendelea mara baada ya Swala ya Eid el Fitr.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Mohamed Gharib Bilal akitoa salamu za Eid el Fitr leo mara baada ya Swala iliyofanyika Kitaifa kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja,Jijini Dar es Salaam.
 Waziri wa Ulinzi,Dkt. Hussein Mwinyi (katikati) akijumuika pamoja na Waumini wenzake wa Kiislam katika Swala ya Eid El Fitr iliyofanyika Kitaifa kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja,Jijini Dar es Salaam leo.
 Masheikh mbali mbali wakiwa kwenye ibada hiyo.
 Umati wa Waumini wa Kiislam ukiwa katika Viwanja vya Mnazi Mmoja,Jijini Dar es Salaam leo,tayari kwa kushiriki ibada ya Eid El Fitr.
Wakinamama pia walijitokeza kwa wingi wao kwenye Ibada hiyo.
Watangazi wa TBC Taifa wakiongozwa na Maalim Sued Mwinyi wakirusha matangazo live.
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Mohamed Gharib Bilal akipeana mkono wa Eid na baadhi ya Waumini wa Dini ya Kiislam mara baada ya Swala ya Eid El Fitr iliyofanyika Kitaifa kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja,Jijini Dar es Salaam leo.
source: matukiotz.com


DKT BILAL AWAONGOZA WATANZANIA SWALA YA IDD 

20140729_074656_73ac8.jpg
20140729_074807_771af.jpg
Makamu wa Rais Dkt Bilali amewaongoza wananchi wa Jiji la Dar es Salaam katika swala ya Idd iliyoswaliwa kitaifa katika viwanja vya Mnazi mmoja leo asubuhi.(Picha zote na Awadh Ibrahim wa Mjengwa Blog).

20140729_075018_ac6bc.jpg
20140729_074938_8f501.jpg
Walinzi wanaomlinda makamo wa raisi Dkt. Birali wakiimalisha ulinzi
(Picha zote na Awadh Ibrahim wa Mjengwa blog).

SOURCE: MJENGWA BLOG

No comments:

Post a Comment