WHATEVER YOUR ARE BE A GOOD ONE;

A nation that is afraid to let its people judge the truth and falsehood in an open market is a nation that is afraid of its people. John F. Kennedy

“Taifa letu – taifa lolote – ni zuri na mahali pazuri pa kuishi kama raia wake watalifanya liwe hivyo. Uongozi wake unaweza kuwa mzuri, mbaya au usiojali lakini kama watu wake wameamka (ki-elimu?) na wanajitambua, haitachukua muda mrefu kuwakilisha mtazamo wa jamii na kubadili mawazo na matumaini ya taifa.” Julius Kambarage Nyerere


Sunday, November 4, 2012

Redd's Miss Taznania 2012


BRIGITTE ALFRED NDIE REDDS MISS TANZANIA 2012

Washereheshaji katika Onyesho la kumsaka Mlimbwende wa Redd's Miss Tanzania 2012 usiku huu ndani ya Ukumbi wa Hoteli ya Blue Peal,Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Taji Liundi na Kulia ni Jokate Mwegelo
REDDS MISS TANZANIA 2012, BRIDGIT ALFRED (KATI) AKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA MSHINDI WA PILI EUGENE FABIAN NA MSHINDI WA TATU EDA SYLVESTA (KULIA).
Hii ni top 5 ya uncle Lundenga.   kwa picha zaidi bofya read more



Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL),Kushila Thomas (kushoto) akikabidhi funguo ya gari aina ya Noah kwa Redd's Miss Tanzania 2012, Brigitte Alfred mara baada ya kutwaa taji hilo usiku huu.

Redd's Miss Tanzania 2012, Brigitte Alfred akiwasha gari yake.


Picha na maelezo tumeshirikishwa na FATHER KIDEVU BLOG

No comments:

Post a Comment