WHATEVER YOUR ARE BE A GOOD ONE;

A nation that is afraid to let its people judge the truth and falsehood in an open market is a nation that is afraid of its people. John F. Kennedy

“Taifa letu – taifa lolote – ni zuri na mahali pazuri pa kuishi kama raia wake watalifanya liwe hivyo. Uongozi wake unaweza kuwa mzuri, mbaya au usiojali lakini kama watu wake wameamka (ki-elimu?) na wanajitambua, haitachukua muda mrefu kuwakilisha mtazamo wa jamii na kubadili mawazo na matumaini ya taifa.” Julius Kambarage Nyerere


Wednesday, November 14, 2012

Kikao cha Kwanza cha NEC CCM


 Mwenyekiti wa CCM Taifa Dk. Jakaya Mrisho Kikwete na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein, wakiimba wimbo  maalum wa Chama cha Mapinduzi baada ya kuingia katika ukumbi wa Mkutano wa kwanza wa Halmashauri Kuu ya CCM kufanyika baada ya kuchaguliwa wajumbe wake mjini Dodoma juzi.

 Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM wakimsikiliza Mwenyekiti wa CCM Taifa akihutubia

 Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM, wakitoka katika ukumbi wa Mkutano mjini Dodoma.

 Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa NEC, kutoka Zanzibar, kutoka kulia Mhe. Ramadhani Abdalaa Shaban, Mwalimu Kombo, Mhe Haroun Ali Suleiman, Mhe.Haji Ameir na Mhe Banguwaji Mshamba wakiwa nje ya jengo la Makao Makuu ya CCM White House Dodoma, baada kumaliza mkutano wa kwanza uliofanyika leo.
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Taifa Dk. Jakaya Kikwete, akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa  Halmashauri Kuu ya CCM Taifa NEC ,baada ya kumalizika kikao cha kwanza, kilichofanyika katika Ofisi ya jengo la Makao Makuu ya CCM Mjini Dodoma.

No comments:

Post a Comment