WHATEVER YOUR ARE BE A GOOD ONE;

A nation that is afraid to let its people judge the truth and falsehood in an open market is a nation that is afraid of its people. John F. Kennedy

“Taifa letu – taifa lolote – ni zuri na mahali pazuri pa kuishi kama raia wake watalifanya liwe hivyo. Uongozi wake unaweza kuwa mzuri, mbaya au usiojali lakini kama watu wake wameamka (ki-elimu?) na wanajitambua, haitachukua muda mrefu kuwakilisha mtazamo wa jamii na kubadili mawazo na matumaini ya taifa.” Julius Kambarage Nyerere


Monday, November 5, 2012

CCM Mkoa wa mjini magharibi wafanya mkutano Magogoni leo


 
Viongozi wa CCM na Jumuiya zake zilioko katika Mkoa wa Mjini wakimsikiliza Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa huo akiwahutubia katika viwanja vya Magogoni.
 Msoma utenzi kwa ghibu Kassim Yussuf, akisoma utenzi katika mkutano huo  


 Katibu wa UVCCM Mkoa wa Mjini Mohammed Ali Halfan, akitowa salama za Vijana wa Mkoa wa Mjini katika mkutano huo uliofanyika viwanja vya mpira magagani

 Katibu wa CCM Mkoa wa Mjini Alhajj Rajab Kundia akizungumza na wananchi katika mkutano wa hadhara wa Chama cha Mapinduzi uliofanyika katika viwanja vya mpira magogoni. 
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Mjini Borafa Silima akiwahutubia Wanachama wa Chama cha Mapinduzi katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya magogoni.

No comments:

Post a Comment