WHATEVER YOUR ARE BE A GOOD ONE;

A nation that is afraid to let its people judge the truth and falsehood in an open market is a nation that is afraid of its people. John F. Kennedy

“Taifa letu – taifa lolote – ni zuri na mahali pazuri pa kuishi kama raia wake watalifanya liwe hivyo. Uongozi wake unaweza kuwa mzuri, mbaya au usiojali lakini kama watu wake wameamka (ki-elimu?) na wanajitambua, haitachukua muda mrefu kuwakilisha mtazamo wa jamii na kubadili mawazo na matumaini ya taifa.” Julius Kambarage Nyerere


Sunday, November 2, 2014

Golikipa wa timu ya taifa ya Afrika Kusini alivyoagwa kishujaa.

Mazishi Kipa S. Afrika
Shughuli za kuaga mwili wa aliyekuwa golikipa na kapteni wa timu ya taifa ya Afrika Kusini, Senzo Meyiwa zimefanyika mchana wa leo Novemba 1 Durban.

Mchezaji huyo alifariki baada ya kupigwa risasi siku ya jumapili majira ya saa 2 usiku, Oktoba 26 akienda kumuokoa mpenzi wake aliyekuwa amevamiwa na majambazi nyumbani kwake, tayari mtuhumiwa wa kwanza amepandishwa kizimbani jana Oktoba 31.Maelfu ya watu wamefurika uwanja wa Moses Mabhida, Durban mchana wa leo kwa ajili ya kuaga mwili wa golikipa huyo wakiwa wamevalia t-shirt zenye picha ya Meyiwa .

A hearse arrives at the Moses Mabhida stadium ahead of a funeral service of South African national soccer team captain and goalkeeper, Senzo Meyiwa, in Durban

SAFRICA-FBL-RSA-MEYIWA-FUNERAL

SAFRICA-FBL-RSA-MEYIWA-FUNERAL

Mazishi Kipa II

Mazishi Kipa
mAZISHI vi

source: matukiotz.com

No comments:

Post a Comment