WHATEVER YOUR ARE BE A GOOD ONE;

A nation that is afraid to let its people judge the truth and falsehood in an open market is a nation that is afraid of its people. John F. Kennedy

“Taifa letu – taifa lolote – ni zuri na mahali pazuri pa kuishi kama raia wake watalifanya liwe hivyo. Uongozi wake unaweza kuwa mzuri, mbaya au usiojali lakini kama watu wake wameamka (ki-elimu?) na wanajitambua, haitachukua muda mrefu kuwakilisha mtazamo wa jamii na kubadili mawazo na matumaini ya taifa.” Julius Kambarage Nyerere


Thursday, November 8, 2012

Kim Poulsen Atangaza Kikosi Kitakacho Ivaa Harambee Stars Ya Kenya




Kocha wa timu ya Taifa Kim Poulsen ametangaza kikosi cha Tanzania kitakachojiandaa kwa ajili ya mchezo wa kirafiki unaotambuliwa na FIFA dhidi ya Harambee Stars ya Kenya. Wachezaji walioitwa ni:

 Makipa; Juma Kaseja (Simba SC) na Deogratius Mushi Mabeki; Kevin Yondan (Yanga), Aggrey M orris, Erasto Nyoni (Azam FC), Issa Rashid (Mtibwa Sugar), Nassoro Masoud ‘Cholo’, Shomari Kapombe na Amir Maftah (Simba). 

 Viungo; Salum Abubakar (Azam FC), Amri Kiemba, Mwinyi Kazimoto, Ramadhan Singano na Mrisho Ngassa (Simba), Athuman Iddi , Frank Domayo (Yanga) na Shaaban Nditi (Mtibwa Sugar). Washambuliaji; John Bocco (Azam FC), Simon Msuva (Yanga), Christopher Edward (Simba), Mbwana Samatta na Thomas Ulimwengu wa (TP Mazembe)
Source; mjengwa blog

No comments:

Post a Comment