WHATEVER YOUR ARE BE A GOOD ONE;

A nation that is afraid to let its people judge the truth and falsehood in an open market is a nation that is afraid of its people. John F. Kennedy

“Taifa letu – taifa lolote – ni zuri na mahali pazuri pa kuishi kama raia wake watalifanya liwe hivyo. Uongozi wake unaweza kuwa mzuri, mbaya au usiojali lakini kama watu wake wameamka (ki-elimu?) na wanajitambua, haitachukua muda mrefu kuwakilisha mtazamo wa jamii na kubadili mawazo na matumaini ya taifa.” Julius Kambarage Nyerere


Wednesday, March 13, 2013

KUTOKA ZANZIBAR

  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akifungua pazia kuweka jiwe la msingi mradi wa tangi la maji safi na Salama,Kilimani Tazari,alipokuwa katika  ziara ya Mkoa wa kaskazini Unguja,kuangalia maendeleo ya wananchi katika miradi mbali mbali.
   Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akifungua pazia kufungua Skuli ya Msingi ya Kidagoni Wilaya Kaskazini A Unguja,alipokuwa katika ziara ya Mkoa wa Kaskazini.
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati)alipokuwa akizungumza na wananchi wa Kilimani Tazari,Wilaya ya kaskazini A Unguja,alipoweka jiwe la msingi mradi wa tangi la maji safi na Salama,akiwa katika ziara ya Mkoa wa kaskazini.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(wa tatu kulia)akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Mazingira Sheha Mjaja Juma,(kulia)kuhusu kisima cha maji safi na salama,alipokuwa katika ziara ya Mkoa wa kaskazini Unguja,kuangalia maendeleo ya wananchi katika miradi mbali mbali.
  Sheha wa Shehia ya Nungwi Kombo Mkuni Ali,(kushoto)akitoa maelezo kwa  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akiangalia maonesho ya kazi za vikundi vya wajasiriamali wa Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja,alipokuwa katika ziara ya kuangalia maendeleo ya miradi mbali mbali.
   Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiangalia maonesho ya kazi za vikundi vya wajasiriamali wa Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja,alipokuwa katika ziara ya kuangalia maendeleo ya miradi mbali mbali.
   Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akipokea zawadi ya Kijahazi kidogo kutoka wa Sukari Kombo Ali,baada ya kuangalia maonesho ya kazi za vikundi vya wajasiriamali wa Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja,alipokuwa katika ziara ya kuangalia maendeleo ya miradi mbali mbali.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akizungumza na Wananchi na Wajasiriamali wa Nungwi,baada ua kuangalia  maonesho ya kazi za vikundi mbali mbali huko viwanja vya Skulimya Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja,alipokuwa katika ziara ya kuangalia maendeleo ya miradi mbali mbali.
 Wanafunzi waliohudhuria katika ufunguzi wa Skuli ya Msingi ya Kidagini Wilaya ya kaskazini A Unguja,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akizungumza na Wananchi na Wanafunzi, alipofungua Skuli hiyo akiwa katika ziara ya Mkoa wa kaskazini Unguja.
  Wanafunzi waliohudhuria katika ufunguzi wa Skuli yanMsingi ya Kidagini Wilaya ya kaskazini A Unguja,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akizungumza na Wananchi na wanafunzi,alipofungua Skuli hiyo akiwa katika ziara ya Mkoa wa kaskazini Unguja.
Baadhi ya Wananchi na Watoto wa Nungwi Wilaya ya kasakazini A Mkoa wa Kaskazini Unguja,wakimsikiliza  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akizungumza na Wananchi na Wajasiriamali wa Nungwi,baada ua kuangalia maonesho ya kazi za vikundi mbali mbali huko viwanja vya Skulimya Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja,alipokuwa katika ziara ya kuangalia maendeleo ya miradi mbali mbali.
 
Picha na Ramadhan Othman,Ikulu-Zanzibar
 
SOURCE: HAKI NGOWI

No comments:

Post a Comment