Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi Rasimu ya Katiba mpya, Makamu wa Kwanza wa Rais
wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad, baada ya uzinduzi rasmi wa
rasimu hiyo uliofanyika Juni 03, 2013 katika Viwanja vya Karimjee
jijini Dar es Salaam.Katikati ni Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya
Katiba Mpya, Joseph Sinde Warioba.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi Rasimu ya Katiba mpya, Makamu wa Pili wa Rais Balozi Seif
Idd baada ya uzinduzi rasmi wa rasimu hiyo uliofanyika Juni 03, 2013
katika Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam. Katikati ni
Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Mpya, Joseph Sinde Warioba
Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi Rasimu ya Katiba mpya, Waziri Mkuu, Mizengo
Pinda, baada ya uzinduzi rasmi wa rasimu hiyo uliofanyika Juni 03,
2013 katika Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi Rasimu ya Katiba mpya, Naibu Katibu Mkuu Mstaafu
wa Umoja wa Mataifa, Asha-rose Migiro, baada ya uzinduzi rasmi wa
rasimu hiyo uliofanyika Juni 03, 2013 katika Viwanja vya Karimjee
jijini Dar es Salaam. Kushoto kwa Makamu, ni Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Idd (kushoto) ni Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Mpya, Joseph Sinde Warioba.Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais
source: Haki ngowi
No comments:
Post a Comment