WHATEVER YOUR ARE BE A GOOD ONE;

A nation that is afraid to let its people judge the truth and falsehood in an open market is a nation that is afraid of its people. John F. Kennedy

“Taifa letu – taifa lolote – ni zuri na mahali pazuri pa kuishi kama raia wake watalifanya liwe hivyo. Uongozi wake unaweza kuwa mzuri, mbaya au usiojali lakini kama watu wake wameamka (ki-elimu?) na wanajitambua, haitachukua muda mrefu kuwakilisha mtazamo wa jamii na kubadili mawazo na matumaini ya taifa.” Julius Kambarage Nyerere


Sunday, June 16, 2013

Cheki Taswira Za Mpambano Kati ya Timu ya Taifa 'Taifa Stars' na Ivory Coast

 Kikosi cha Timu ya Taifa ' Taifa Stars
Kikosi cha Ivory Coast.
  Waamuzi wa mechi ya Stars na Ivory Coast wakiwa katika picha ya pamoja na manahodha wa timu zote mbili.
 Benchi la ufundi la timu ya Taifa Stars.
Benchi la ufundi la timu ya Ivory Coast.
 Mashabiki wakishangilia.
  Thomas Ulimwengu akimtoka mchezaji wa Ivory Coast, Bamba Souleman
 Mshambuliaji wa Taifa Stars, Amri Kihemba akiwatoka mabeki wa timu ya Ivory Coast,  katika mchezo wa kufuzu fainali za kombe la dunia uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Ivory Coast ilishinda 4-2.
Beki wa Taifa Stars, Shomari Kapombe akitafuta mbinu za kumtoka mchezaji wa Ivory Coast, Aurier Alain katika mchezo wa kufuzu fainali za kombe la dunia uliuofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Mshambuliaji wa Stars, Thomas Ulimwengu akimtoka, Bamba Souleman.
 Gooooooooo.
  Heka heka langoni mwa timu ya ivory coast
 Thomas Ulimwengu akishangilia bao la pili la Stars.
 Mchezaji Thomas Ulimwengu akishangilia baada ya kufunga bao
Wachezaji wa Taifa Stars wakishangilia bao la kwanza la timu hiyo katika mchezo wa kufuzu fainali za kombe la dunia dhidi ya Ivory Coast. Stars ilifungwa 4-2. 
 
Picha Zote na Mdau Francis Dande
source: Haki Ngowi

No comments:

Post a Comment