WHATEVER YOUR ARE BE A GOOD ONE;

A nation that is afraid to let its people judge the truth and falsehood in an open market is a nation that is afraid of its people. John F. Kennedy

“Taifa letu – taifa lolote – ni zuri na mahali pazuri pa kuishi kama raia wake watalifanya liwe hivyo. Uongozi wake unaweza kuwa mzuri, mbaya au usiojali lakini kama watu wake wameamka (ki-elimu?) na wanajitambua, haitachukua muda mrefu kuwakilisha mtazamo wa jamii na kubadili mawazo na matumaini ya taifa.” Julius Kambarage Nyerere


Tuesday, December 11, 2012

RAIS JAKAYA KIKWETE ALIVYOWATUNUKIA NISHANI WATU MBALIMBALI IKULU


Rais Jakaya Kikwete, akimvisha Nishani ya Jamhuri ya Muungano Daraja la 1, Dkt. Mohamed Seif Khatib- Ofisi ya Makamu wa Rais, wakati wa sherehe ya kutunuku Nishani, iliyofanyika jana kwenye Viwanja vya Ikulu, jijini Dar es Salaam. Picha Zote na Ofisi ya Makamu wa Rais

Rais Jakaya Kikwete, akimvisha Nishani ya Utumishi Mrefu na Maadili Mema Daraja la (I), Alhaj Ramadhan Mussa Kijjah-Wizara Fedha, wakati wa sherehe ya kutunuku Nishani, iliyofanyika jana kwenye Viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam. Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais
Rais Jakaya Kikwete, akimvisha Nishani ya Utumishi Mrefu na Maadili Mema Daraja la (I), Ludovick Silemwa Lemnge Utouh- Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi, wakati wa sherehe ya kutunuku Nishani, iliyofanyika jana kwenye Viwanja vya Ikulu, jijini Dar es Salaam. Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais
Rais Jakaya Kikwete, akimvisha Nishani ya Sanaa na Michezo, Muhidin Mwalimu Gurumo-Habari,Utamaduni na Michezo, wakati wa sherehe ya kutunuku Nishani, iliyofanyika jana kwenye Viwanja vya Ikulu, jijini Dar es Salaam.Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais
Bw. Mengi akifurahia Nishani yake na kupozi kwa picha na Rais Jakaya Kikwete, baada ya kutunukiwa.
Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais
kwa picha zaidi bofya read more
Rais Jakaya, na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Rais wa Zanzibar, Dkt. Shein na mkewe, Bi Mwanamwema, wakiwa katika picha ya pamoja na wasanii wa kikundi cha sanaa cha Taifa cha Rwanda wakati wa hafla ya usiku ya miaka 51 ya Uhuru, iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu, jijini Dar es Salaam jana. Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Mkewe Mama Mwanamwema Shein,wakisalimiana na Viongozi mbali mbali waliohudhuria katika hafla fupi ya kusherehekea miaka 51 Uhuru wa Tanzania Bara,iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu
Dar es Salaam jana.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Mkewe Mama Mwanamwema Shein,wakisalimiana na Viongozi mbali mbali waliohudhuria katika hafla fupi ya kusherehekea miaka 51 Uhuru wa Tanzania Bara,iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu
Dar es Salaam jana
Mke wa Rais wa Tanzania,Mama Salma Kikwete,akicheza ngoma ya kikundi cha Taifa cha Sanaa cha Burundi iliyowaburudisha Viongozi mbali mbali katika hafla fupi ya kusherehekea Miaka 51 ya Uhuru wa Tanzania Bara jana,katika viwanja vya Ikulu Dar es Salaam.
Mke wa Rais wa Tanzania,Mama Salma Kikwete,na Mke waRais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein,wakiwa na furaha walipohudhuria katika hafla fupi ya kusherehekea Miaka 51 ya Uhuru wa Tanzania Barabaada ya kupiga picha ya pamoja na kikundi cha taifa cha Sanaa cha Burundi jana,katika viwanja vya Ikulu Dar es Salaam
.[Picha na RamadhanOthman,Ikulu.]

No comments:

Post a Comment