Ni
mzee wa siku nyingi sana kwenye muziki Tanzania ambae aliwahi kuingia
kwenye vichwa vya habari mara nyingi hasa kutokana na kuugua kwake
kuliko mfanya aache hata muziki aliokua anaufanya.
Taarifa zilizothibitishwa na hospitali ya Taifa Muhimbili
zimesema Mzee huyu amefariki dunia akiwa hospitalini hapo leo April 13 2014 saa nane mchana baada ya kuletwa jana asubuhi na kulazwa kwenye wodi namba 6 ya Mwaisela kutokana na kuzidiwa.
zimesema Mzee huyu amefariki dunia akiwa hospitalini hapo leo April 13 2014 saa nane mchana baada ya kuletwa jana asubuhi na kulazwa kwenye wodi namba 6 ya Mwaisela kutokana na kuzidiwa.
Tayari mwili wake umepelekwa kwenye chumba cha kuhifadhia maiti
ambapo taarifa zaidi kuhusu chanzo cha kifo na taratibu za mazishi blogu ya wananchi itaendelea kuzitoa
source: blog ya mwananchi
No comments:
Post a Comment