Jeneza lenye Mwili wa aliyekuwa Mkuu
wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Marehemu Balozi Fulgence Kazaura
likiwa ndani ya Kanisa la Mt. Peter,Osterbay jijini Dar es Salaam
tayari kwa Ibada maalum ya kumuombea Marehemu huyo iliyofanyika mchana
wa leo kanisani hapo.Picha zote na Othman Michuzi.Viongozi
wa Kanisa hilo la Mt. Peter wakiwaongoza waomboleazaji kuaga Mwili wa
aliyekuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Marehemu Balozi
Fulgence Kazaura aliefariki Dunia juzi huko nchini India alikokwenda kwa
ajili ya Matibabu.
Rais
Mstaafu wa awamu ya tatu,Mh. Benjamin Mkapa akiwaongoza waomboleazaji
mbali mbali kutoa heshima za mwisho wakati wa kuaga Mwili wa aliyekuwa
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Marehemu Balozi Fulgence
Kazaura aliefariki Dunia juzi huko nchini India alikokwenda kwa ajili ya
Matibabu.Ibada hii ya kuaga mwili wa Balozi Kazaura imefanyika mchana
wa leo katika Kanisa la Mt. Peter,Osterbay jijini Dar es Salaam.
Waziri
Mkuu Mstaafu,Jaji Joseph Warioba akitoa heshima za mwisho kwa Mwili wa
aliyekuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Marehemu Balozi
Fulgence Kazaura aliefariki Dunia juzi huko nchini India alikokwenda kwa
ajili ya Matibabu.Ibada hii ya kuaga mwili wa Balozi Kazaura imefanyika
mchana wa leo katika Kanisa la Mt. Peter,Osterbay jijini Dar es Salaam.
Kaimu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es
Salaam (UDSM),Prof. Rwekaza Mkandala (mbele) Sir George Kahama,pamoja na
Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara,Mzee Phillip Mangula wakitoa heshima zao
za Mwisho kwa Mwili wa aliyekuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam
(UDSM), Marehemu Balozi Fulgence Kazaura aliefariki Dunia juzi huko
nchini India alikokwenda kwa ajili ya Matibabu.Ibada hii ya kuaga mwili
wa Balozi Kazaura imefanyika mchana wa leo katika Kanisa la Mt.
Peter,Osterbay jijini Dar es Salaam.
Rais Mstaafu wa awamu ya tatu,Mh.
Benjamin Mkapa akimfariji Mjane wa Marehemu pamoja na watoto wakati wa
Ibada maalum ya kuaga Mwili wa aliyekuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es
Salaam (UDSM), Marehemu Balozi Fulgence Kazaura,iliyofanyika kwenye
kanisa la Mt. Peter,Osterbay jijini Dar es Salaam leo.
Waziri Mkuu Mstaafu,Jaji Joseph Warioba akiifariji familia ya Marehemu Balozi Fulgence Kazaura.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara,Mzee Phillip Mangula akiifariji familia ya Marehemu Balozi Fulgence Kazaura.
Familia ya Marehemu Balozi Fulgence Kazaura ikiwa kanisani hapo sambamba na waombelezaji wengine mbali mbali.
Watoto wa Marehemu Balozi Fulgence Kazaura wakizungumza jambo,pamoja na Mama yao (katikati).
Mtoto Mkubwa wa Marehemu Balozi
Fulgence Kazaura,Kamugisha Kazaura akisoma risala fupi ya baba yake
wakati wa Ibada Maalum ya kutoa heshima za mwisho,iliyofanyika mchana wa
leo kwenye Kanisa la Mt. Peter,Osterbay jijini Dar es Salaam.
Mzee Samuel Tassa ambaye alikuwa ni
mtu wa karibu la Marehemu Balozi Fulgence Kazaura,akimzungumzia namna
walivyoweza kuishi pamoja katika kipindi chote cha Uhai wake.
Muwakilishi wa Mabalozi wastaafu
nchini,Balozi Anthony Nyaki akitoa ujumbe wa Mabalozi wenzake namna
walivyoguswa na msiba huo wa Mwenzao,Marehemu Balozi Fulgence Kazaura.
Ibada ikiendelea kanisani hapo.
Mh. Mkapa akilishwa Mkate wa Bwana.
Prof. Mkandala akilishwa Mkate wa Bwana.
Sir George Kahama.
source:mjengwa blog
No comments:
Post a Comment