" Amani ni zao la matumaini, pindi matumaini yatakapotoweka kutakuwa na vurugu katika jamii. Nitashangaa kama hawa Watanzania watakataa kuasi. Kwanini wasiasi? Wakati wengi wa wananchi wanapopoteza matumaini unajenga volcano. Volcano hii italipuka siku moja. Labda kama watu hawa ni wajinga. Wengi katika watu wa nchi zetu ni wajinga ndiyo maana hukubali kutawaliwa hivyo. Kukubali kukandamizwa namna hiyo wakati wanayo nguvu inayotokana na wingi wao, ni kwa sababu ni wajinga tu. Hivyo basi Watanzania watakuwa ni wajinga na mataahira (idiots), kama watakubali kuendelea kukandamizwa na watu wachache (viongozi) katika nchi yao wenyewe". Julius Kambarage Nyerere
WHATEVER YOUR ARE BE A GOOD ONE;
A nation that is afraid to let its people judge the truth and falsehood in an open market is a nation that is afraid of its people. John F. Kennedy
“Taifa letu – taifa lolote – ni zuri na mahali pazuri pa kuishi kama raia wake watalifanya liwe hivyo. Uongozi wake unaweza kuwa mzuri, mbaya au usiojali lakini kama watu wake wameamka (ki-elimu?) na wanajitambua, haitachukua muda mrefu kuwakilisha mtazamo wa jamii na kubadili mawazo na matumaini ya taifa.” Julius Kambarage Nyerere
Tuesday, July 12, 2011
NUKUU YA LEO; JULIUS K. NYERERE- AMANI HUZAA MATUMAINI.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment