WHATEVER YOUR ARE BE A GOOD ONE;

A nation that is afraid to let its people judge the truth and falsehood in an open market is a nation that is afraid of its people. John F. Kennedy

“Taifa letu – taifa lolote – ni zuri na mahali pazuri pa kuishi kama raia wake watalifanya liwe hivyo. Uongozi wake unaweza kuwa mzuri, mbaya au usiojali lakini kama watu wake wameamka (ki-elimu?) na wanajitambua, haitachukua muda mrefu kuwakilisha mtazamo wa jamii na kubadili mawazo na matumaini ya taifa.” Julius Kambarage Nyerere


Thursday, February 3, 2011

TAFAKARI YA MIAKA 49 YA UHURU KATIKA PICHA































Je tunapata tafakari gani kutokana na picha hizi hapa juu? nini tunaweza kujifunza mwenendo wa taif aletu tuko wapi na tunatoka wapi na tunaelekea wapi? je nini kifanyike katika kuleta hali tofauti kutokana na picha hizi kwa taifa letu?

1 comment:

  1. kwa ujumla inasikitisha kuona kuwa wananchi ambao ndio rasilimali ya taifa bado wako kwenye hali ngumu. picha hizi zinakatisha tamaa na hazileti usawa kabisa. Elimu, afya na barabara zinatisha; halafu viongozi wetu wao wanatanua na magari mazuri V8 kwa kweli hakuna haki kabisa;

    ReplyDelete