tag:blogger.com,1999:blog-2662451984535926829.post5275337540530690246..comments2023-06-12T11:35:49.805-04:00Comments on UKADIRIFU: Mbunge ‘mpumbavu’ hatapigiwa kura 2015Anonymoushttp://www.blogger.com/profile/06362546775824253509noreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-2662451984535926829.post-21280463114457255592013-05-01T12:13:41.927-04:002013-05-01T12:13:41.927-04:00Chukulia suala la wagombea ubunge wa CCM kutoroka ...Chukulia suala la wagombea ubunge wa CCM kutoroka midahalo wakati wa kampeni ule mwaka 2010. Sina sababu ya kuminya maneno: huu ulikuwa ni upumbavu. Wakati huu wanatamba Bungeni, lakini mimi sijasahau upumbavu waliofanya.<br /><br />Hivi kweli, tunawafundisha nini watoto wetu, endapo hatujihusishi na mijadala na midahalo, ambayo ni njia moja ya kuelimishana? Ilichofanya CCM ni kuwafundisha watoto wetu upumbavu.Mbelehttps://www.blogger.com/profile/16077261126944002622noreply@blogger.com