WHATEVER YOUR ARE BE A GOOD ONE;

A nation that is afraid to let its people judge the truth and falsehood in an open market is a nation that is afraid of its people. John F. Kennedy

“Taifa letu – taifa lolote – ni zuri na mahali pazuri pa kuishi kama raia wake watalifanya liwe hivyo. Uongozi wake unaweza kuwa mzuri, mbaya au usiojali lakini kama watu wake wameamka (ki-elimu?) na wanajitambua, haitachukua muda mrefu kuwakilisha mtazamo wa jamii na kubadili mawazo na matumaini ya taifa.” Julius Kambarage Nyerere


Friday, November 9, 2012

RAIS KIKWETE AWASILI DODOMA



Rais Kikwete akiteremka kwenye ndege baada ya kuwasili Dodoma leo.

Rais Kikwete akisalimiana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi,  Nape Nnauye mara alipowasili Dodoma leo


Rais Jakaya Kikwete akiwa na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Pius Msekwa mara alipowasili Dodoma leo tayari kwa Mkutano Mkuu wa CCM utakaoanza tarehe 11 mpaka tarehe 13 Novemba katika ukumbi wa Kizota Dodoma.

No comments:

Post a Comment